Music Video
Top Songs By Ashery Willy
Similar Songs
Lyrics
Tusisahau dunian tunapita
Sisi ni wasafiri Tunakwenda mbali
Na kule tuendako sisi
Tutaoa hesabu za mambo ya dunia hii
Ya nini
Kusemana vibaya
Kupingana kuchukiana
Ya nini
Kuchukiana
Kupingana kuumizana mioyo
Tazama lini mito huvuka mipaka yake
Mtoto akimtukana baba yake
Kila mmoja ashike nafasi yake yeye
Kila mtu amuone ndugu yake
Asijione bora zaidi ya mwenzake
Sote tuko sawa
Mbele zake Mungu
Twaona sisi ni ndugu
Kwa pamoja tupendane
Twaona sisi ni ndugu
Kwa pamoja tupendane
Upendo huvuma kila hali
Katika shida wewe ndio wakunijali
Nisikwamwe nawe ukanitupa mbali
Ukafurahia
Nitajitahidi kukujali
Ili nawewe ufikie mahali
Yaani hata kama sio kadiri ya vile utakavyo
Ya nini kusemana vibaya
Kuchukiana kuumizana mioyo
Ya nini kusemana vibaya
Kuchukiana kuumizana mioyo
Tazama lini mito huvuka mipaka yake
Mtoto akimtukana baba yake
Kila mmoja Ashike nafasi yake yeye
Kila mtu amuone ndugu yake
Asijione bora zaidi ya mwenzake
Sote tuko sawa mbele zake Mungu
Twaona sisi ni ndugu
Kwa pamoja tupendane
Twaona sisi ni ndugu
Kwa pamoja tupendane
Sisi ni ndugu
Tupendane
Lyrics powered by www.musixmatch.com