Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Dayoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Batazari Romani
Batazari Romani
Composer

Lyrics

Naitwa Mangi Nananana nanaa Onana nana Nanana onanaa Onana Nishazuguka kote duniani Kama wee sijamuona Gari umeliwasha washa Washa washa washa angani Pole pole wee mkia mwendo wako Ukitembea hutokwi jasho Unang'ata kucha unafumba macho Zitaniua pigo zako Sir God amekupamba we alloo Amekupa nyumba yaani mpaka choo Makolo wakikijaza wee wa ignore Akili kichawani iih eeh Ooh mama mama Mwaka huu watakomama eeh Watasubiri sana sana Kuja kuachana Unanifanya naimba Onana nanaah Kichwani umenikaa Onana nanaah Nauwambie eeh moyoni umenijaa Onana nanaah Oh nana, oh nana Mmh aah moyoni umenijaza Oh na na moyoni umenikaa Oh lala eeh Nataka ni invest kwenye body uwe unapendeza Aah zaidi ya kina nai Usinyoe baby uwe unasuka ukikopeshwa Mi nitalipa wakidai Hao mabisho kawakataa kwa mangi kaweka koma Pisi kapenda viwalo vya ilala boma Baby unanifanya nikijikia kufa kufa kufa Unanirudisha uhah Ooh mama mama Mwaka huu watakomama eh Watasubiri sana sana Kuja kuachana Unanifanya naimba Onana nanaah Kichwani umenikaa Onana nanaah Nauwambie eeh moyoni umenijaa Onana nanaah Oh nana, oh nana Mmh aah moyoni umenijaza
Writer(s): Batazari Romani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out