Lyrics

Mon chéri, je t'aime beaucoup Penzi lako guu lime-menasa Mon chéri, kama uchawi uko Mganga wako fundi hasa hasa He, mwavuli wangu moyo umeufunika (wewe ndio) Kiboko yangu unaijua pa kunishika Kama mapenzi belebele Lako laniwasha inemurwe Nshakupa moyo na mwili Uwe wako uchukuwe Pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love) Pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love) Ooh, ma chérie (chérie) Miunji ya baridi wanikomea Geuka makini (makini) Macho yangu ye huona hufumbaria Zidishe sana mbawe huu nilisihi Niki kazana (kazana) Kama mapenzi pilipili (pili) Lako laniwasha in a good way (good way) Shakupa moyo na mwili Uwe wako nchukue Pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love) Pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love) Njo tucheke compa (compa) Mmh, aah (oh, baby) We Laiser wewe Ye, ye, ye, iyaa Eeh bwarere (bwakacha) Ha, bwakacha (bwarere) Mmh, aah Baby pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love) Baby pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love) Oh, my love
Writer(s): Siraju Amani, Zuhura Soud, Salim Sultan Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out