Credits
PERFORMING ARTISTS
Anastacia Muema
Organ
COMPOSITION & LYRICS
Anastacia Muema
Songwriter
Lyrics
Nikitazama inavyopendeza dunia huyo ni Mungu aliyefanya. Viumbe vyote vya nchi kavu na baharini aliviumba yeye ni Mungu. Njooni tumwimbie nyimbo za shangwe, njooni tumtukuze aliyetuumba. Twimbe aleluya, asifiwe Mungu, njooni tumtukuze milele aliyetuumba.
Written by: Anastacia Muema

