Credits
PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Ana, jicho la kukonyeza na mikogo ka-Shakira
Nyuma mkia pweza shepu katapira
Mechi tunazozicheza kitandani fundikira
Ameniweza napumua kwa mipira
Tenaa
Kiuno laini chuchu dodododo
Kitovuni kipini mtoto jojojojo
Avae dera kimini nyuma rojorojo
Katoto ndizi maini yani sotojotojo
[Chorus]
Aahh gogaga aee
Fanya kama unataga aee
Tuzivunje chaga aee
Ongeza mazagazaga aee
[Chorus]
Aahh gogaga aee
Fanya kama unataga aee
Tuzivunje chaga
Ongeza mazagazaga
[PreChorus]
Basi waonyeshe waone, waone
Basi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe waone, waone
Basi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe
[Verse 2]
Mungu alikuumba kwa udongo we mtoto fire (Fire, fire)
Utajanipa mazongo ukija retire (Tire, tire)
Nizidishe uhondo stimu za kaya (Kaya, kaya)
Si chururu ndondondo, penzi likapwaya (Pwaya, pwaya)
[Verse 3]
Unavyonichanganya manuva (Iyee) kiuno spidi kama msuva (Iyee)
Kwako napoona mh
Maajabu samaki nguva (Iyee)
Mchezoni unavyonifungafunga (Iyee)
Magoli ya koona
Tenaa
Kiuno laini chuchu dodododo
Kitovuni kipini mtoto jojojojo
Avae dera kimini nyuma rojorojo
Katoto ndizi maini yani sotojotojo
[Chorus]
Aahh gogaga aee
Fanya kama unataga aee
Tuzivunje chaga aee
Ongeza mazagazaga aee
[Chorus]
Aahh gogaga aee
Fanya kama unataga aee
Tuzivunje chaga aee
Ongeza mazagazaga
[Outro]
Basi waonyeshe waone, waone
Basi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe waone, waone
Basi waonyeshe waone, waonyeshe waone
Basi waonyeshe
Written by: Lava Lava

