Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Songwriter

Lyrics

Hey, (hmm), Sanaipei Hey, Nadia (Alexis on the beat) Wewe nani? Unanipigia simu kama nani? Eti niachane na mume wako nani? Unajua Nadia kweli mi ni nani? Weh ni nani? Unampigia simu kama nani? Eeh Ata utoe vya ndani, atarudi hapa kwangu tu nyumbani, eeh Anapenda vidogodogo, mwenzako ana vimumunya (munya) Mwanamke unapenda zogo Tafuta jambo hilo la kufanya (fanya) Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Kubali yaishe, ni wangu Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Mwishowe yataisha, ni wangu Hivyo vimeseji na kuficha simu havinishtui (oo-wee) Atachoka nawewe (eh), pengine aende (eh), yule hakagui (oo-wee) Kelele ya chura haizuii ng'ombe kunywa maji Kwangu habanduki Kwako hatoboki, nakwama na yeye (kwama na yeye) Anapenda wife-material, mwenzako anakudanganya (danganya) Mwanamke una kasoro (weh) Tafuta jambo hilo la kufanya (kufanya) Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Mwishowe yataisha, ni wangu Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Kubali yaishe, ni wangu Mi sitakoma, koma, koma, koma Mi sitakoma, koma, koma, mama, eeh N'takukomboa, komboa, komboa, komboa N'takukomboa, komboa, komboa, msichana, weh-ayy Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Mwishowe yataisha, ni wangu Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Kubali yaishe, ni wangu Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Mwishowe yataisha, ni wangu Oh, ni wangu Huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu Kubali yaishe, ni wangu
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out