Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mathias Walichupa
Producer
Lyrics
Huu ndio utambulisho wangu
Kwamba mi ni mzawa wa Kifalme
Alinijua, tangu mawazoni mwake, eeh
Alisha nichagua niwe wa upande wake, eeh
Ugumu wa changamoto, zinazo nikabili
Hautoshi kubadili mawazo, MUNGU anayoniwazia
Nina imani upo wakati, ambao mema
Niliyopanga yatatimia, maana
Sijaandikiwa Kushindwa, aah
Nimeandikiwa Kushinda, aah
MUNGU yuko upande wangu, uuh
Nitashinda zaidi ya Kushinda
Nina imani Nitashinda (aah)
Mi Nitashinda (aah)
Mimi Nitashinda (aah)
Najua uko upande wangu, naamini (aah)
Mi Nitashinda (aah)
Mimi Nitashinda (aah)
YESU uko upande wangu, naamini
Naamini, Naamini, Iye-iyee
Kwako nitangoja (Neno lako)
Kwako nitangoja (Sauti yako)
Kwako nitangoja, Kibali chako
BWANA, unipatie
Nitangoja (Amani yangu)
Nitangoja (Uponyaji wangu)
Uweponi mwako, YESU nitakaa
Maana ukiwa upande wangu (hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (hakuna)
Hakuna (hakuna)
Iye-iyee-ee
Tena ukisema ndio (hakuna)
Nani apinge-ee (hakuna)
Hakuna (hakuna)
Nitashinda kwa maana
Sijaandikiwa Kushindwa, aah (tangu mwanzo)
Nimeandikiwa Kushinda, aah (ni ahadi ya Baba yangu)
MUNGU yuko upande wangu, uuh (sitachoka kuamini)
Nitashinda, zaidi ya Kushinda (ajapo kawia nitangonja)
Aaah (aaah)
Mi Nitashinda (aah)
Mimi Nitashinda (aah)
Najua uko upande wangu (wouwo)
Naamini (aah)
Mi Nitashinda (aah)
Mimi Nitashinda (aah)
YESU uko upande wangu, naamini
Naamini, naamini, iye-iye-ee
Maana ukiwa upande wangu (hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (hakuna)
Hakuna (hakuna)
Written by: Mathias Walichupa


![Watch Mathias Walichupa - Nitashinda [Official Music Video] on YouTube Watch Mathias Walichupa - Nitashinda [Official Music Video] on YouTube](https://i.ytimg.com/vi/4frX0uQPDoM/sddefault.jpg)