Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Darkid
Darkid
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Thabit Juma Thabit
Thabit Juma Thabit
Songwriter

Lyrics

Tumekutana wawili tumekutana
Tumependana wenyewe hatukulazimishana
Wapendao jaman mmetuona
Tunaelewana kama tumeshare mama
Walisema tutaachana mbona bado tupo
Eti hatutofika mbali mbona tunamaliza mwaka
Tumlani shetani baby
Tusije kuachana kwa visa vya kipuuzi
Tupendane hivi hivi libaki hili penzi tukawe babu na bibi
Skuiz nakula vizuri hata stress sina
Niko na mpenzi wangu pemben mmemuona
Nakunywa maji mengi nalala mapema
Nadekezwa kama mtoto nilozaliwa mwaka jana
Mmetuona mmetuona
Wapendanao mmetuona
Mmetuona mmetuona
Wapendanao mmetuona
Kasema nsinenepe ,
Kasema nsipungue
Nibaki hivi hivi ndo kanipenda yeye
Nsijichoshe kwenda gym
Nsifanye diet
Kaupenda huu mwili wangu
Hivi hivi
Kanichagua
Nimemchagua , tumekubaliana wenyewe hatukufosiwa
Madhaifu yangu anayajua
Karidhika na kidogo changu katulia
Skuiz nakula vizuri hata stress sina
Niko na mpenzi wangu pemben mmemuona
Nakunywa maji mengi nalala mapema
Nadekezwa kama mtoto nilozaliwa mwaka jana
Mmetuona mmetuona
Wapendanao mmetuona
Mmetuona mmetuona
Wapendanao mmetuona
Written by: Thabit Juma Thabit
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...