Credits

COMPOSITION & LYRICS
Meshack Bongo Salim
Meshack Bongo Salim
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Baba mi nilikufanyia nini
Ndo unipende namna hii
Nimekufanyia nini
Ndo unipende namna hii
[Verse 2]
Baba mi nilikufanyia nini
Ndo unipende namna hii
Nimekufanyia nini
Ndo unipende namna hi
[Refrain]
Nimekuja na wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
[Refrain]
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
[Verse 3]
Bila we ningeteseka Dadi
Umenitoa mbali iih
Kama sio wewe ewe
Mi ningekuwa wapi iih
[Verse 4]
Napiga magoti
Mbele zako baba yangu
Nainua mikono
Kwa ishara ya kushujudu
[Chorus]
Yale Baba umenifanyia wacha nikuite Shamma
Nimekuja nikupende leo Jehovah Shamma
We ni Mungu wa mapendeleo (Nishakujuaa)
Unapenda vile unataka Dadi (Nishakujuaa)
[Refrain]
Nimekuja na wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Wimbo
Moyo wa kukuabudu Baba
[Refrain]
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
[Bridge]
Nilikuwa nimepotea wokovu ukanipa
Nlikuwa sipendezi neema ukanipa
Ukaniokotatoka jalalani mie
Ooh
[Bridge]
Nilikuwa nimepotea wokovu ukanipa
Nlikuwa sipendezi neema ukanipa
Ukaniokota toka jalalani mie
Ooh
[Verse 5]
Asante kwa wokovu
Asante kwa msamaha
Umeondoa maovu uuh
Moyoni nina raha
[Bridge]
Asante kwa wokovu
Asante kwa msamaha
Umeondoa maovu uuh
Moroni nina raha
[Chorus]
Yale Baba umenifanyia wacha nikuite Shamma
Nimekuja nikupende leo Jehovah Shamma
We ni Mungu wa mapendeleo (Nishakujuaa)
Unapenda vile unataka Dadi (Nishakujuaa)
[Refrain]
Nimekuja na wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Wimbo
Moyo wa kukuabudu Baba
[Refrain]
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Wimbo
Na moyo wa kukuabudu Baba
Written by: Meshack Bongo Salim
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...