Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Killer
Beat Killer
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mi ndo yule wanasema sitofika popote
Ile Mungu akakataa
Mi ndo yule walonidharau
Ntakufa kapupu nimepata wanashangaa
[Verse 2]
Mi ndo yule kipenzi cha Mungu
Wakinichafua ndo kwanza nota inane'aa
Mi ndo yule dhahabu kwa majivu
Sasa ukijichanganya usijedhani ni mkaa
[Chorus]
Mmh
Whoo (Whoo)
Whoo (Whoo)
Whoo (Mungu ananipenda sana)
[Chorus]
Whoo (Whoo)
Whoo (Whoo)
Whoo (Mungu ananipenda sana)
[Verse 3]
Umeona kagari (Huyo ni Mungu)
Umeona na nyumba (Huyo ni Mungu)
Ukiona naringa (Ujue ni Mungu)
Afya tele ninayo (Huyu ni Mungu)
[Verse 4]
Do you see my car (Oh baba blessings)
Do you see my house (Oh baba blessings)
Do you see my family (Oh baba blessings)
Afya tele tunayo (Oh baba blessings)
[Verse 5]
Mi ndo yule ambae sikuangi mga na yoyote
Nikateseka kwa mitaa
Mi ndo yule walonisahau
Na kuniita msumbufu, nikatengwa na ndugu na jamaa
[Verse 6]
Mi ndo yule, kipenzi changu uuh
Kila wakiziba nja ninapita nashangaa
Mi ndo yule dhahabu kwa majivu
Sasa ukijichanganya usijedhani ni mkaa
[Verse 7]
Eh Mungu wewee
Unaweza kumpa hata aliyembagua
Ukinipa weewe
Hata wakipinga ukitaka inakuwa
[Chorus]
Umeona mashamba (Huyo ni Mungu)
Umeona mifugo (Huyo ni Mungu)
Ona biashara zinasonga (Ujue ni Mungu)
Mafanikio yote (Huyo ni Mungu)
[Chorus]
Do you see my car (Oh baba blessings)
Do you see my house (Oh baba blessings)
Do you see my family (Oh baba blessings)
Afya tele tunayo (Oh baba blessings)
[Chorus]
Umeona magari (Huyo ni Mungu)
Umeona na nyumba (Huyo ni Mungu)
Ukiona naringa (Ujue ni Mungu)
Afya tele ninayo (Huyo ni Mungu)
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...