Credits
PERFORMING ARTISTS
Obby Alpha
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Obby Alpha
Songwriter
Lyrics
Chorus
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Sishikiki.
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Sishikiki.
Verse 1
Waliosema nitafeli (Pameanza kuchangamka).
Eti mimi sistahili (Pameanza kuchangamka).
Waliosema nitafeli (Pameanza kuchangamka).
Eti mazuri si yangu,
Kweli maisha ni safari,ila (Sishikiki).
Mungu kashika usukani,Usukani.
Hata ine shida gani ,da gani ,(Sishikiki).
Ananipigania ,nia.
Bridge
Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh.
Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh.
Mi hata munikatae (Sawa)
Inatosha akinipenda (Bwana)
Mambo yangu kayaweka (Sawa)
Inatosha akinipenda (Bwana )
Ooh hata munikatae (Sawa )
Inatosha akinipenda (Bwana )
Mambo yangu kayaweka (Sawa )
Inatosha akinipenda eeeh
Chorus
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Sishikiki.
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Sishikiki.
Verse 2
Hellow hellow jirani,nataka nikwambieeh sitokutegemea wewe.
Na ooh Hellow hellow Rafiki,nataka nikwambieee sitokutegemea wewe.
Wala si kwa ubaya ,naepuka laana.
Niliyoahidiwa,nikimtegemea mwanadamu
Si kwa ubaya ,naepuka laana.
Niliyoahidiwa,nikimtegemea mwanadamu
Bridge
Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh.
Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh.
Mi hata munikatae (Sawa)
Inatosha akinipenda (Bwana)
Mambo yangu kayaweka (Sawa)
Inatosha akinipenda (Bwana )
Ooh hata munikatae (Sawa )
Inatosha akinipenda (Bwana )
Mambo yangu kayaweka (Sawa )
Inatosha akinipenda eeeh
Chorus
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Sishikiki.
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini
Sio mtu sasa niogope nini?
Sishikiki.
Written by: Obby Alpha