Letras

Hatujui Hatujui (Hatujui,Hatujui) Ayooh Kenny Hivi mnajua hili beat amegonga nani (Hatujui) Na tulivyo record umeme aliweka nani (Hatujui) Ngoma ime recordiwa studio ama nyumbani (Hatujui) Aahh wanangu vipi chupa mnadhani ata shoot nani (Hatujui) Siku zote kiti moto inayo uzika mwezi mtukufu Kwanini wateja wanapunguaa (Hatujui) Na nina hela star hivi mganga wangu mnamjua (Hatujui) Kwanini pisi kali mimba za mastaa hawatoi Kwanini ukikopwa ukweni huwezi kudai (Hatujui) Kwanini wamasai chupi hawavai Na nani amesema Nenga hanioi (Hatujui) Wanangu mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui) Nyie mnajua kwanini msinisanue (Hatujui) Mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui) Nyie mnajua kwann msinisanue (Hatujui) Wanangu mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui) Nyie mnajua kwanini msinisanue (Hatujui) Mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui) Nyie mnajua kwann msinisanue (Hatujui) Yani leo nataka kujuaa Nanii alioanzisha kudanga Mnaokwenda kwa mpalange nataka kujua Hivi ana nyumba ama kapanga Yani siamini ninayo sikia Hivi kweli vibonge wana vibamia Mimi hapa Mabantu na Marioo Mnajua kwanini tunaji chubua (Hatujui) Wanangu mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui) Nyie mnajua kwanini msinisanue (Hatujui) Mnajua nyiee mnajua nyiee (Hatujui) Nyie mnajua kwann msinisanue (Hatujui) We yule dada anavyo saula we mpaka anaboaa Ila anacho nikosha akipata mimba anatoa We kwanza mimba zote chini ya jua zimekusudiwa Usiseme bahati mbaya wakati mwenywe ulivua Kidogo mamaake Yesu anaweza akasamehewa Lakini we chura uligongwa ukapewa bia Shika kiuno shika na tena shika kiuno Wanangu hili dude noma Shika kiuno shika na tena shika kiuno Mwanangu we dada una binua binu binu Binu tena dada Unabinua binu binu Binu tena mama We una binua binu binu Binu tena dada Unabinua binu binu (binu) We mwanangu shifte Michezo yako acha Dicksound eeh michezo yako acha Faridi mtu peace eeh michezo yako acha We Stani Bakora michezo yako acha We kumbe amenyimwa ndogo ndo maana amesusa We twende shaku shaku We mabawa We mzuka ukipanda ukicheza vyovyote sawa Wanangu shaku shaku weeh mabawa We mzuka ukipanda ukicheza vyovyote sawa Ata mangu mangu sawa yote sawa Hata ukitetema sawa yote sawa Hata ukisaula sawa yote sawa Ata ukijibeba sawa yote sawa Aatia tia tia tia We producer Kenny piga guitar mwanangu Moja mbili tatu wekaa Eehh
Writer(s): Faustina Mfinanga, Dulla Makabila Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out