Testi

Yeah Chrome! Siku hizi binadamu nawagwaya Hawa wawili walikuwa wanapendana Kushikana wakichinjiana Nimeona kwa news, eeh walichinjana Manze dunia inaenda wapi? Mandugu wanauana ju ya mali Siku hizi pesa thicker than blood Beef ndani ya family ni bomboclaat Story ya mabeshty weka kando Kwanza mabeshty A1 kaa ritho Mabeste Hiyo ndiyo kikulacho Utakuta beshty yako ndiye alikula bibi yako Ndio maana me hukaa pekee yangu tu Kwa corner na pombe yangu tu Story ya mbogi ah ah Dunia balaa eeh Siku hizi ni kubad, bad, bad Bad bad bad bad Manze so sad Watu wengine ni ma mbwakni Siku hizi ni kubad, bad, bad Bad bad bad bad Manze so sad Watu wengine ni ma mbwakni Bishop anaishi Karen Wafuasi wake Kayole Anataka sadaka mchange Wafuasi wake ju ya mawe Siku hizi sielewi hosi Mbona ulipe parking hosi Manze hawajali ju ya wagonjwa Hosi zingine zimeoza Juzi manzi yangu aliniambia 'Babe naenda trip Naivasha' Akapiga picha na Subaru Hapo nikajua nimerushwa manzi yangu Ndio maana me hukaa pekee yangu tu Kwa corner na pombe yangu tu Story ya mbogi ah ah Dunia balaa eeh Siku hizi ni kubad, bad, bad Bad bad bad bad Manze so sad Watu wengine ni ma mbwakni Siku hizi ni kubad, bad, bad Bad bad bad bad Manze so sad Watu wengine ni ma mbwakni
Writer(s): Major Nameye Khadija Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out