Testi

Yeah Ooh yeah, beiby This one for the true lovers Just In Love Music Hey naumia moyo Beiby... yeah mmh Ningekuhonga hata hii dunia Ooh mi amor Ila ndo nisijajaliwa Sina la ku offer Zaidi ya mapenzi ya dhati Hali yako naielewa Wala usijali, nimekubali ulivyo Kwako nimelowa Nilidhani nitaelea nikajizamia, ooh My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameh My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni Kwenye shida na raha, aah-aah Kwa kumbato lako ni sawa, sawa Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa Kwa busu lako baba ni sawa, sawa Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala) Hela za burger, ila twala(twala) Nimeridhia moyo Kwa penzi lako la dhamani Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala) Burger, ila twala(twala) Nimeridhia moyo Kwa penzi lako la thamani My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameh My cherie Hata na pasi nasa nayo ooh beiby My hunnie Hata balobi natika yoh jameni Kwenye shida na raha, aah-aah Kwa kumbato lako ni sawa, sawa Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa Kwa busu lako baba ni sawa, sawa Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah) Ali mradi niko na wewe (Iyee, iyee aaah)
Writer(s): Richard Nowels, Billy Steinberg, Claire D Ubaldo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out