Testi

(Ricco Beatz Mr. 808) Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema Juu venye nahema si mnajua kitu nimepewa Nasikia mnasema ati Ssaru anapenda kupewa Kaa wee ni wa Juja ukipewa lazima utapenya Alafu nacheki support inakuja kwa wingi Thank you banaa Ma-dm kibao mamorio wamembao Nataka hii kitu sana Na venye nacheki tukiendelea hivi Nitasema yes banaa, yes banaa Morio leta biringanya banaa Nilikuwa niwashow hizi ni mistari Me sipendi hii kitu sana Nikacheki nitaboo, nita-dissapoint Mamorio wanapenda vagina Ako wapi Zzero tufanyie collabo Moja yenye itawachanganya Akam na mandom tuchafue flow Tukiwa mamoshi banaa Moto sana Utadhani ndani kuna bunsen burner Nawanga mchana Usiku nakesha nikichoma mashada Ogopa banaa Juu me ukinidiss tunakosana Mi ni mtoto sana Utaenda kamiti ukishikwa na mbang'a Me najidai Stakabadhi nimebeba utadhani ni ndai Na niko fly Me sina deni lakini bado unanidai mmhh Unanidai unataka ngwai Untaka zenye pedi ameniwahi Venye uko high na uko na ndai Kazi ni kuuliza mbona ni why Nilisahau Hamisi Ile design ulisahu kamisi Kwanza joo nimekumissi Kwanza ile wakati unashika matiti We ndo unapeananga kissing Mi huwa napendaga miti Siku hizi ulichorea kiki Uliacha kuseti kamenje kwa kiti Kaza kitu ni fitting' Chapa ni kama utalipwa majiti mmhh Father mi ndio kipii Saa finya finya ni kaa parachichi aaah Kaa parachichi iko na kijiti Venye inahang joo haijifichi Na mi ni vajo staki ubishi Kaa ulinikula ulikulanga missing' Leo nimedunga G-String Nimejileta nataka unidishi Ahh nyama kwa nyama sipiki Hii ndio ile nyama unakulanga mbichi Clever ni kama hailiki Kaa ni kisima joo si tuko fishing Hii nyama kama hailiki Mwenye anakula ni kama ni richkid Ssaru mbogi ni KANU Mi ndio nakujanga kuleta hamu Daily nakujanga na mautamu Ni za ki-Coasto kutoka Lamu Bars ni ngori ku'shinda mbogi genje Bars nachana utadhani ni veve Makali inashinda ya wembe Juu mi nalima hata kuliko jembe Mi nawashika na sinanga wende Juu mi ni OG nyi ni maembe ahh Chura bishana na mende Hapo unahang kama makende Legendary mi ndio legend Kaa hakakupei wacha kaende Ssaru anakuwanga na utamu ya tende Mi staki pizza nijenge tu sembe aahh Siku hizi nimemea pembe Nilizaliwa kaa sinaga nyege Katambe wacha kaende Kalambe kaa peremende Kaa ni marapper mi ndio mkali hapa Mi na-represent Khali kaa ako hapa Juu nachana faster kaa Semenye Castor (Eeey eey eey) Harambe mbogi ni genje Kaa unanipenda nikembe Nikaze nikameze tembe Kichwa ni kama malenge Mi nakutolea form Uko na mzinga leta tu ndom Mi nakupeleka home bro huwezani Juu rende ni rong
Writer(s): Sylvia Saru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out