Video musicale

In primo piano

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Naiboi
Naiboi
Performer
Michael claver
Michael claver
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Michael claver
Michael claver
Songwriter

Testi

Eyoo ni DJ Shiti Aka Kolokolo Munyanye Na leo tunataka kusondeka Tabia tofauti tofauti Ambayo hatupendi kwa hii jamii Tabia ya maslayqueen Kula pesa ya wanaume Hata ya wale wa mjengo Mtu mzima kukojoa kwa matandiko Halafu anawekelea watoto Kutumia watu 'Please Call Me' Na uko na iPhone, Shindwe! Rixx, finya hiyo kitu(Haa, Shaka) Usibishane na babu wewe! Tunasondeka iyee, tunasondeka(Are you ready?) Tunasondeka, tunasondeka Na tuko tu Pacho kwani boss(Rixx Matatizo) Tunasondeka iyee, tunasondeka(Ah Naiboi) Tunasondeka, tunasondeka Tunarekebisha Are you ready?(Nai Nai) Are you ready?(Nai Nai) Nikuje?(Hapana) Nikuje?(Hapana) Tunasondeka kwa charger hakuna socket Si tu charge kwanza nishalipa token Charger ya smartphone sina pin ndogo Hakuna mangoko na hapa mi ndio jogoo Niko na idea, chunga utaingia Si rahisi uliza hadi Nadia Mmmh mapunyeto saka una dhiki Na mangeus wako ni mashabiki Ikikataa there is no regretting Tuna i-switch back to factory setting Na mi ndo dawa kwa hizi factory zenyu Nawaka ka star so mashawties wenyu Wamenifuata mtaa, wanasoma menyu Wamenipata njaa nadishi chakula zenyu Leo nitaisondeka na hapa ndio venue Chapati kalia mi nikicheza na ndengu Onyesha hiyo mbegu, wee mi si kitabu Ah siwezi someka, sipigi kavu Ah siwezi chomeka(Boom) Na bado naisondeka mpaka che Naipiga na naipika ilie kama fe Tunaisafisha mitambo iyee Tukizipeleka Wordwide Ah Naiboi fanya mambo Yeah we pray for your long life Fix it Naiboi Wasanii mpaka lini? Kukaliwa chini Our whole lives ooh no Round hii tumekam kuwakomesha Round this tumekam kuwasomesha Tunasondeka, tunasondeka Eeeh, domo domo mpaka lini? Ah usibishane na nyanya yao, unaboesha! Tukisondeka, Tunasondeka tunasondeka Tunasafisha mitambo, Tunasondeka tunasondeka Nai mpaka ng'ambo, Tunasondeka tunasondeka Sawa plesdent Kingston, Tunasondeka tunasondeka Tunarekebisha! Alejandro, fisi fisi fisi fisi fisi Alejandro, fisi fisi fisi fisi fisi Pima miti utajua ni ya mluja Shot nakupea moja ka ya Drogba Kinyama nyama itabidi umengoja Kuna line na hujapiga hata order Uliota na kitu inakaa ka nyoka Haina macho lakini inakuona Inapenda kuingia na kutoka Inapenda joto saa ya mboka Kevo anadai ananidai na hana ndae Eti alipe Uber, Tunasondeka! Kwa DM wanakaza wananisend nudes Waone boobs na mathutha (Ate what?) Behind the scenes nimecarry alot Napiga matot kwenye parking lot Ah, mbele mbele nawapita na force Sidigi nyuma niwe chumvi kama bibi ya Lot Sikuli doh ni kusave niwai shamba Namanga Kwa border ndani ya ndae si unajua luku ni pamba Kwa rap we ni pekedo vile nimewabamba Niite Femi Uno and you know vile nawafanyanga Tumependa sana mikiki na mambo ya dunia Mambo ya kujaza maji ndani ya gunia Tulia, vulia lazima kuyaogea Ujana ni moshi ndio maana unavutia Raha jipe mwenyewe Juu hakuna wa kulinganishwa nawe Ukitingisha kiberiti Chunga tu kulipua baruti mama Nia ni ile ile Asilimia vile vile Kuja nawa mbona uje tule leo Watapiga vigelegele Na kesho wakusulubishe Lazima tuwarekebishe Ndio maana Tunasondeka, tunasondeka Oooh ikileta shida Tunasondeka tunasondeka Vruum! Gari ni biggy gurudumu(Wivu) Hapo nyuma guza pumblu bum(Wivu) Mwenye wivu ajichapa uchungu (Ni malaria uyo)Piga umbu Doom! Party namada, ka hunipati jo bila panty balaa Basi kata ka nyama haina mifupa dada Masomo niko sawa si nimewasoma ala Ni satisfy, nikupe certificate haha Ah-ah baby kamata madingo Happy to be rumored I drove your ego Na hivi ndo wataheshimu maandiko Boy Naiboi ame ashame the Devil Kwa social media unatutesa We ni baller unatuthago Vile umemako pesa(Tunasondeka) Ati zako ni ma 5 star Na mtaa bado we hulalia Double decker(Tunasondeka) Ati huwezi kula skuma Umezoea chakula Ya Ole Sereni(Tunasondeka) Kumbe we ni client Ile baze ya Nyaga Chapo ndondo Pia hukula na deni(Tunasondeka) Ati juzi ulikuwa Holiday Dubai Sherehe na ni kaa Si hatujui(Tunasondeka) But niaje tena ulionekana Nyama Kima ndani ya bus za kwenda Kitui(Tunasondeka) Ati umeshika gari mbichi Ka zile sisi huona Kwa movie man(Tunasondeka) Hiyo ni vako Si we hubebwa na Mwangi Ju najua uko nduthi gang(Tunasondeka) Ati we na Uhuru Mko related So unataka tukuskize fiti(Tunasondeka) Thats a lie Ju labda msee anakujua Ni Omwami ama Dj Shiti(Tunasondeka) MCSK juzi wamentumia Thao mbili soo tano(Tunasondeka) So naplan kuwavuruga Hizo peanuts hatutaki Ero kamano(Tunasondeka) Naiboi to the World No Mpasho,Middle finger to the Paparazzi(Tunasondeka) Kujifanya hautujui Si ni ufala Vijana muwache mihadarati(Tunasondeka)
Writer(s): Michael Kennedy Claver Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out