album cover
Ntaweza
13.045
Christian
Ntaweza è stato pubblicato il 10 luglio 2021 da Zabron Singers come parte dell'album Ntaweza - Single
album cover
Data di uscita10 luglio 2021
EtichettaZabron Singers
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM89

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Zabron Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zabron Singers
Zabron Singers
Songwriter

Testi

[Verse 1]
Kuna kipindi mtu aweza kuvunjika moyo
Anapoona mambo yake hayaendi Mungu
Mwingine hata hujiuliza Mungu yuko wapi
Wanapopitia magumu ya kuvunja moyo
[Verse 2]
Na kwama wapi? Au imani sina?
Tatizo ni nini? Nione yote haya
Nakwama wapi? Au imani sina?
Tatizo ni nini? Nione yote haya
[Verse 3]
Kwa Yesu na amini bado ninazo nguvu
Nitaweza nitainuka hata ninaposhindwa
[Chorus]
Katika yeye anitiaye nguvu mi
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Ndoto zangu kuzitimiza pia mi
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Kusahau maumivu ya moyoni
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Nikae nitulie naye
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Katika yeye anitiaye nguvu mi
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Ndoto zangu kuzitimiza pia mi
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Kusahau maumivu ya moyoni
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Nikae nitulie naye
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
[Verse 4]
Ntaweza ntaweza yote ntaweza
Ntaweza baba maisha
Ntaweza kwako kuomba
Ntaweza Yesu kusali
Ntaweza baba kutii, ntaweza tu
[Verse 5]
Hata kwa yale mambo ninasubiri yafunguke
Yale nilioomba na kusubiri unijibu uuh
[Verse 6]
Nakuamini Yesu hujawahi shindwa
Umewahi fanya hebu fanya tena
Nakuamini Yesu hujawahi shindwa
Umewahi fanya hebu fanya tena aah aah
[Chorus]
Katika yeye anitiaye nguvu mi
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Ndoto zangu kuzitimiza pia mi
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Kusahau maumivu ya moyoni
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Nikae nitulie naye
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Katika yeye anitiaye nguvu mi
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Ndoto zangu kuzitimiza pia mi
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Kusahau maumivu ya moyoni
Ntaweza, ntaweza, ntaweza
Nikae nitulie naye
Ntaweza, ntaweza, mimi ntaweza
Written by: Zabron Singers
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...