album cover
Akida
7512
Christian & Gospel
Akida è stato pubblicato il 28 marzo 2025 da Zabron Singers come parte dell'album Akida
album cover
AlbumAkida
Data di uscita28 marzo 2025
EtichettaZabron Singers
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM84

Testi

[Verse 1]
Namtafuta Bwana yule yule wa ushindi mi ndo pekee najua wapi aliko nitoa
Nina historia uzoefu wa ushindi kwa macho nimeona Mungu alivyonibeba
From zero to hero from nothing to something, nami leo ni mtu katikati ya watu
Hakuna kama Mungu hii dunia alitamka ikawa ikatokea
Umbali tumefika ni huyu Yesu asingekua Mungu singefika hapa
[Verse 2]
Nami kama Akida Bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu hebu sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Nami kama Akida Bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heeh yaani kama Akida Bwana utamke neno tu hebu sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma Bwana sema neno
Hapa nilipo eeh hapa nilipo Bwana hapa nilipo
Yesu hapa nilipo shida zangu zitakoma
[Verse 3]
Akida aliishi na mtumwa aliyempenda kaugua kiasi cha hata kufa
Akatuma wazee wamuite Yesu aje nyumbani mwake
Alipotuma wazee wamuite yesu nyumbani mwake aje
Ili amponye huyu mtumwa wake kabla afike tena katuma wajumbe
Yesu wala usijisumbue kufika nyumbani kwa Akida sema neno tu hapo ulipo na mtumwa atapona
Yesu akaugeukia mkutano kawambia sijaona Israeli hii yote sijaona imani kubwa kama hii
Walipofika nyumbani kule nyumbani kwa yule Akida walimkuta mtumwa yule tayari keshapona
[Chorus]
Nami kama Akida Bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu hebu sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Nami kama Akida Bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu hebu sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...