Video musicale

Inua Macho
Guarda il video musicale per {trackName} di {artistName}

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Bony Mwaitege
Bony Mwaitege
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniphace Patson Mwaitege
Boniphace Patson Mwaitege
Composer

Testi

Ooh Ooh Ooh Hallelujah Eh Eh Yahweh Ooh Hallelujah Zame Imeandikwa Alani we amtegemeae mwanadamu Imeandikwa Alani we amtegemeae mwanadamu Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake moyoni mwake amemwacha mungu Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Moyoni mwake amemwacha mungu Ndugu yangu Kwa nini ulaaniwe kwa kumtegemea mwanadamu Ndugu yangu Kwa nini ulaaniwe Kwa kumtegemea mwanadamu Kijana mwenzangu kwanini ulaaniwe Kwa kumtegemea Mwanadamu Msaada wa mwanadamu una mwisho wake Msaada wa mungu huna mwisho kamwe Mwanadamu naweza choka kusamehe lakini mungu hawezi kuchoka Mwandamu anaweza choka kukuvumilia lakini mungu hawezi kuchoka Unatakiwa uinue macho juu Aliko muweza wa vyote Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Mama mjane Inua macho Inua Inua macho juu Hallelujah Mtazame mweza wa vyote Kwake yeye Kwake upo msaada wa kudumu (kwake Mungu wa yesu) Hallelujah eeh Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Mtoto yatima Ondoa mashaka Inua inua macho juu (halellujah) Mtazame mweza wa vyote Kwake Kwake upo msaada wa kudumu (Kwake Yeye) Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Mama mjane Kuwalea watoto Inua inua macho juu (ooh mama yangu) Mtazame mweza wa vyote Kwake yeye Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Wewe ndugu yangu unaetafuta ajirawe Inua inua macho juu (yeye ni bwana) Mtazame mweza wa vyote Kwake yeye Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Mtazame bwana Mtazame messisah Mtazame mweza wa vyote Aaah Eeh ahh Danieli alitupwa kwenye simba Adui zake walitaka afe Danieli aliinua macho yake juu akamwomba mungu mweza wa vyote Akasema mungu awafunge vinywa hawa simba Wasinidhuru mtumishi wako Mungu wa mbinguni alimsikia aah akawafunga vinywa wale simba Danieli akawa salama katikati ya simba wenye njaa kali Inua na wewe Inua macho juu Mtazame mungu mweza wa vyote Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Ndugu yangu Inua macho Inua inua macho juu (mtazame bwana) Mtazame mweza wa vyote (Kwake yeye) Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Mkulima huko shambani Inua inua macho juu (mtazame bwana) Mtazame mweza wa vyote (Kwake yeye) Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe Uliye okoka popote ulipo Inua inua macho juu (mtazame bwana) Mtazame mweza wa vyote Yupo kwa ajili yetu (Kwake yeye) kwake upo msaada wa kudumu Hawezi kuchoka kukusaidia Kamwe Wewe mwanafunzi kuhusu masomo Inua inua macho juu (inua macho yako) Mtazame mungu wako Mtazame mweza wa vyote Kwake yeye Kwake upo msaada wa kudumu Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out