Testi

Okwonkwo Mavo on the beat Nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego Nilikuwa napenda sana form za ego Nimepoteza vitu mob, juu ya ego Ako ka ego, ah punguza ego, e-ego, ah Nilikuwa na dem nilikuwa napenda sana Aka kadem nilijua tutaoana Nilishtuka vile tuliachana, juu ya ego, ah Tukikosana, singekubali kuwa wa kwanza kupiga simu (ah ah) Nikisikia kupiga, karoho kananiambia "Usipige" Ah, saa niko single, ah juu ya ego Nilingoja anipigie, alichoka akapigia chali mwingine Imagine, ningeweka ego chini, nipige simu ningekuwa na bibi Imagine, nilichagua ego, na hiyo life ikanihumble, haha Nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego (ego) Nilikuwa napenda sana form za ego (ego) Nimepoteza vitu mob, juu ya еgo Ako ka ego, ah punguza ego, e-еgo, ah A rich man's joke is always funny, so funny Tunacheka na unabore, we just want your money, ha-ha your money Tunapapasa ego, ndio utoboke mfuko Tukule pesa yako tukimaliza tukuwache pekee yako, ah Ni juzi tu manze ulienda Dubai, ukikuja Kenya eh unajidai "Is it safe? Huko Umo ni safe?" Mmmh si ulizaliwa huko, punguza tumaringo Acha ka ego, msupa kabla life ikuhumble, ah Nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego Nilikuwa napenda sana form za ego Nimepoteza vitu mob, juu ya ego Ako ka ego, ah punguza ego, e-ego, ah
Writer(s): Major Nameye Khadija Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out