Testi

Ricco Beats Mr 808 Dating (Ayy) Kanairo (Wewe) Blunder (Ayy) We' hmm Dating (Dating) Kanairo (Kanairo) Blunder (Blunder) We' (Ayy, huh) Uh, mtoto wa Khadija We' we' Uh, nilienda date wacha tu (We') Na manzi psycho, fyatu (Ayy) Kadem kalikuwa kanasumbua Nikajua haka kadem siku moja kataniua Nikapata mwingine mali safi (Uh) Lakini alikuwa na baby daddy Mtoto wake akaanza kuniita "Daddy" Baby daddy tulishikana mashati Nikapata mwingine ana mahaga (Ayy) Alikuja kejani kuchapana (We') Huyo dem alikuwa anashtua Tukimake love alikuwa anabonda sura (Ayy) Nimetafuta kila chuom Nimetafuta kila rima Natafta mdenge, haha wewe Nimetafuta kila chuom (Chuom) Nimetafuta kila rima (We') Natafta mdenge (Ayy) Kanairo dating, blunder Nilienda date risky, we' Dem alikuwa analewa whiskey (Ayy) Kidogo akaanza kuniita "Baby" Baby? Umеnijua two hours Huyu naye manze hapendi vako zangu Anataka nichoree mamorio wangu Anataka nichoree ongwеlo yangu Ni aende, heri nibaki peke yangu Huyu naye akiskia sauti ya madem (Ayy) Ni ashinde akisema "Sema I love you" Eh "Sema I love you naskia madem hapo" "Sema I love you" (Ayy) Nimetafuta kila chuom Nimetafuta kila rima haha Natafta mdenge, haha wewe Nimetafuta kila chuom (Chuom) Nimetafuta kila rima (Ayy) Natafta mdenge Kanairo dating, blunder Mara ya mwisho mi kwenda date (Ayy) Dem alinishow, "I have a lot of girlfriends" Kidogo ma-hug ma-hug, akiona chali, ma-hug haiwezi Mi nataka peng ka mimi, anapenda reggae ka mimi Anapenda genge ka mimi, simple living ka mimi Mi nataka tu mdenge, ule ataniride ka senke Ka unafikiria ni wewe, ni DM IG, Mejja Genge Nimetafuta kila chuom Nimetafuta kila rima Natafta mdenge, haha kanairo dating blunder! Noma jo
Writer(s): Major Nameye Khadija Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out