album cover

MAMBO BYEE

6369Pop2026
album cover
00:00
00:35
01:00
01:20
01:50
00:00
02:01
Ultimi 7 giorni
MAMBO BYEE è stata scoperta più frequentemente nei primi secondi di la canzone durante la settimana passata

Testi

[Verse 1]
Cannibal kutoka alloh
Oyaa mama mama zao si waliwakataza
Wasicheze na sisi si watu hatari mzee
Mama mama zao si waliwapa onyo
Wasicheze na sisi si watu wabaya mzee
Si ndo mifano si ndo mifano ya aibu
Si ndo mifano si ndo mifano ya ajabu
Si ndo mifano si ndo mifano ya ovyo
Si ndo mifano asiyefaa kafaaa
[PreChorus]
Siku hizi mambo yamechange, Mungu wao amekua wa kwetu
Kila kitu kimekua barida, chuzi limekolea nazi
[Chorus]
Mambo byee (Mambo byee)
Mambo shega (Mambo shega)
Mambo shwari (Mambo shwari)
Mambo yente (Mambo yente)
Mambo byee (Mambo byee)
Mambo shega (Mambo shega)
Mambo shwari (Mambo shwari)
Mambo yente (Mambo yente)
[Verse 2]
Karia, karia, karia, karia kariakoo
Dharau dharau sio nzuri tafuta dooh
Gongo la mboto mbagala bunju kekoo
Sanya sanya usiache kichwa tafuta dooh
Oyaa njaa, njaa, njaa mbaya njaa haipendezi binadamu
Njaa njaa njaa mbaya njaa ni mambo ya fedhea
[PreChorus]
Siku hizi mambo yamechange, Mungu wao amekua wa kwetu
Kila kitu kimekua barida, chuzi limekolea nazi
[Chorus]
Mambo byee (Mambo byee)
Mambo shega (Mambo shega)
Mambo shwari (Mambo shwari)
Mambo yente (Mambo yente)
Mambo byee (Mambo byee)
Mambo shega (Mambo shega)
Mambo shwari (Mambo shwari)
Mambo yente (Mambo yente)
Written by: Marioo

Footer Shazam

Seleziona lingua:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Seguici

Loading...