歌詞

Mmmh... OLaLah Mmmh Mmmh! Ona Nakupenda sana usije nipanga kama Nyanya Ukaniona tu mi sina mana ukanichezesha mchana mchana Ila we nipeleke utakavyo maah mi siwezi kubisha kwa lolote Kwa wengine acha nijidai kwako mjinga mie kolo Unanichanganya ukipita na kimini uani umenitobolea kipini Kati uwo ukiwa mwendo kama jini vimaswali baby unataka nini Hivi Hivi kwa nini ukianzaga hunipaga nyama ulimi Tena ulivyo mtundu kama nn unavyokatika Mpaka chini Mpaka chini Mpaka chini Unavyokatika iyo mizungu siamini ×2 Mmmh! Aaah mmh Mmmh! Hayo malavidavi yamenikamata Leoo naongea Na nilivyo sijiwezi naelekea kudata but I don't care... Sina. wakunipa mapenzi zaidi yako mi sina Mmh! Na ukijaga kuniacha mwenzako nta China Mmh nakupenda kinyama kwel mi sina Aah Nasinzia nikukuwaza ooh baby Unanichanganya ukipita na kimini uani umenitobolea kipini Kati uwo ukiwa mwendo kama jini vimaswali baby unataka nini Hivi Hivi kwa nini ukianzaga hunipaga nyama ulimi Tena ulivyo mtundu kama nn unavyokatika Mpaka chini Mpaka chini Mpaka chini Unavyokati uyo mizungu siamini ×2
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out