뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Ruby Afrika
Ruby Afrika
실연자
Kusah
Kusah
실연자
작곡 및 작사
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
작곡가
Hellen Majeshi
Hellen Majeshi
송라이터

가사

Ooooh oooh Oooh baba Siku hizi bila pesa hakuna mahaba Japo sawa nakaba Anataa hataki dunju kwangu si haba Oooh baba Siku hizi bila pesa hakuna mahaba Japo sawa nakaba Leta hataki dunju kwangu si haba (Si haba) Mi mwenyewe mzuri kama nini Nahitaji manyenyekeo Yaani mi mzuri kama nini Nahitaji matunzo Mwanaume gani unaringia jina Nyumba huna we hata kiwanja huna Gari huna hata pikipiki huna Kaka utaniweza wapi? Mwanaume gani unaringia jina Nyumba huna we hata kiwanja huna Gari huna hata pikipiki huna Kaka utaniweza wapi? Nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Naachia nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Naachia nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Yaani nilale mlango wazi Kati ridhiki si yangu Mwisho wa siku nipate maradhi Nilaumu moyo wangu Mwanamke gani huna dogo Kila kitu nikikupa una zogo Hata kama ikikosa kidogo Huwa unanuna Jigune vindani kama gogo Ati hanitaki anataka vigogo Hata kama nikileta kidogo Anaguna guna Mwanamke gani unaringia jina Mume huna we hata mchumba huna Busara huna wee, hata heshima huna Dada utanipata wapi mie? Mwanamke gani unaringia jina Mume huna we hata mchumba huna Busara huna wee, hata heshima huna Dada utanipata wapi mie? Nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Naachia nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Naachia nadondosha Dondosha, dondosha, dondosha Mwanaume gani unaringia jina Nyumba huna, we hata kiwanja huna Gari huna hata pikipiki huna Kaka utaniweza wapi? Mwanamke gani unaringia jina Mume huna, we hata mchumba huna Busara huna wee hata heshima huna Dada utanipata wapi mie?
Writer(s): Hellen Majeshi, Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out