가사

Tunalewa Niko na wanangu si tunalewa Usitughasi ghasi si tunalewa Tunafurahia maisha Usinikumbushe madeni tahadhari Ikiwezekana ebu kaa mbali Mwenzako nimepata vi dolari Na kule nimekaona ka mwali Matatizo bado yapo Popo Kula bata mpaka kesho Usijali tupa stress huko Punguza wenge ulale kesho Hivi unaumwa? Unaumwa? Niache kunywa pombe Eti nihonge unaumwa? Unaumwa? Eti Unaumwa? Nijichange change Nikajenge unaumwa? Kuna ubaya? Eti kunywa pombe wanangu? Kuna ubaya? Mbona simtukani mtu? Kuna ubaya? Nakunywa pombe nilewe mwenyewe Kuna ubaya? Natoa stress zangu mwenyewe Kuna ubaya? Mbona sijamuudhi mtu? Kuna ubaya? Sijamwaga Pombe ya mtu Kuna ubaya? Ahaha Kuna ubaya? Ahaha Puya puya puyaka Pruuuuuh wuh. Hai hai hai Hai hai hai Brother vipi? Tuliza mi moshi kuna police Utae tuponza ndugu ni sisi Si wala bata tunapenda peace Au vipi vuta, tuondolee ibilisi Mama huko tumboni Nahisi naungua moto Mitungi juu ya mitungi Natambaa ka mtoto Dunia inazunguka Bichwa linauma Jinsi nilivyolewa Nahisi nitazima Matatizo bado yapo Popo Kula bata mpaka kesho Usijali tupa stress huko Punguza wenge ulale kesho Hivi unaumwa? Unaumwa? Niache kunywa pombe Eti nihonge unaumwa? Unaumwa? Eti unaumwa? Nijichange change Nikajenge unaumwa? Kuna ubaya? Eti kunywa pombe wanangu? Kuna ubaya? Mbona simtukani mtu? Kuna ubaya? Nakunywa pombe nilewe mwenyewe Kuna ubaya? Natoa stress zangu mwenyewe Kuna ubaya? Mbona sijamuudhi mtu? Kuna ubaya? Sijamwaga Pombe ya mtu Kuna ubaya? Ahaha Kuna ubaya? Ahaha Aisha taratibu aisha Aisha utanivunja aisha Aisha taratibu aisha Aisha, aisha
Writer(s): Salum Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out