album cover
Bugana
27 627
Music
Utwór Bugana został wydany 6 września 2020 przez Mafioso Inc jako część albumu Bugana - Single
album cover
Data wydania6 września 2020
WytwórniaMafioso Inc
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM187

Tekst Utworu

[Chorus]
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Chorus]
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Verse 1]
Unyonge tai, alafu mfukoni mambo mbaya
Hawatudai yeah, yeah, yeah
Hata wavujishe picha mbaya, yeah, yeah
Wakuite babu, nami waniite bibi wetu jukuu
Ooh yeah washike adabu washindwe na walegee eeh
[PreChorus]
Unanisitiri yaani hutaki niumbuke (Aah)
Wawili tu chumbani, ardhi ipasuke (Aah)
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mi nina (Bugana)
Ukiweza nichune kaka
Pahali ambapo mi nina (Bugana)
[Chorus]
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Chorus]
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Verse 2]
Tupo low key na tuna kiss kwenye ndinga
Vile tuna ball sema 'ooh tunavimba'
Kuku approach ilikuwa hard ka nawinda
Hadi nikawa naimba zile ahadi ukawa unvimba
[PreChorus]
Leo bugana limerudi (Kwao)
Tuko na shida zetu wala sio za (Kwao)
Husband material A-K-A (Mopao)
Imeshafika posa bado tu (Vikao)
[PreChorus]
Na hata iweje, hata iweje mimi ni wako tu
Na hata iweje, hata iweje nitabaki kwako tu
Kama ni Gucci, Dolce & Gabana (Aah)
Hata mi, naweza kupambana (Aah)
Kama ni pesa wanasaka ile sana (Aah)
Sana mama, sana, sana
[Chorus]
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Chorus]
Unanipa taabu ya kufanya nielewe
Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Bridge]
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana
[Outro]
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Written by: William Lymo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...