album cover
Haraka
album cover
Utwór Haraka został wydany 2 października 2026 przez Black Market Records jako część albumu Haraka - Single
2 października 2026
WytwórniaBlack Market Records
BPM196
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Nikistone ka stivo
Mi hukeep it simple
Pombe ndo hufanya nitoke default
Niburst ka pimple
Nibalance ka gymbal
Pombe tu kwa wingi na si imbo
Django niko single
Nikiskiza wimbo club
Alafu kuna dem ako na dimple
Mi Nataka info nijue ka ako single pia
Meso ikarudi ako singo pia
Tunamingle sasa tunamingle club
Meso ikarudi ako singo pia
Tunamingle sasa tunamingle club
Meso ikarudi ako singo pia
Kwani ni tanker why
Kwani ni guzler
Akilewa gang sign ni za gaza
Hamazi na tei amemaza
Haraka upesi
Ni diarrhea kinyesi
Haraka haraka
Haraka haraka
Upesi Kinyesi
Tots za yega munju ashanijenga
Alikuja na boiz na boiz ashalengwa
Amenitarget ati mi ndo analenga
Tutoke bukla kims liquor hadi rengwa
Anauliza ka na skill ndo ni beng
Ndo niride lazma macds ju ni benz
Juu alitense hio riba tuliend
Wale ngeus wako roaster waambie
Tunamingle sasa tunamingle club
Meso ikarudi ako singo pia
Tunamingle sasa tunamingle club
Meso ikarudi ako singo pia
Kwani ni tanker why
Kwani ni guzler
Akilewa gang sign ni za gaza
Hamazi na tei amemaza
Haraka upesi
Ni diarrhea kinyesi
Haraka haraka
Haraka haraka
Upesi Kinyesi
Written by: Joseph Nyamweya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...