Letra

Nimehesabu, Nakuhesabu Nimehesabu, Nakuhesabu Nimeongeza na kutoa Nikazidisha na kugawanya Nimeona ni wewe, Yesu ni wewe tu Nimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe tu Hakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe tu Pekee yako ni wewe eh, Yesu ni wewe tu Hesabu zote nilizofanya Nimeona ni wewe tu Pekee yako ni wee Niwewe Yesu ni wewe tu Mwanzo mwisho ni wee Niwewe Yesu ni wewe tu Mungu Yesu ni we eeh Niwewe Yesu ni wewe tu Nikikumbuka, ulikonitoa Nikikumbuka uliyonitendea Ninakumbuka magonjwa uliyoniponya Ninakumbuka vita uliyonipigania Ninakumbuka safari umenitembeza Ninakumbuka yale Mungu uliyotenda Oooh ninasema niweee Bwana ninasema ni wewe tu Niwewe niweeee Yesu wewe ni wewe tu Umetenda haya niweee Eeh wewe niwewe tu Hakuna mwingine awezaye Niweee... eeh Bwana ni wewe tu Nani awezaye kutenda uliyotenda bwana Nani angelipa gharama uliyonilipia Kumbe si wenye mbio washindao michezo Wala walio hodari washindao vitani Nimeona watumwa wakipanda farasi Eeh Bwana Wala si wenye hekima wapatao chakula Bwana Nimejumilisha, nimetoa, nikazidisha, nikagawa Weweee... sijaona mwingine eeh bwana Niweeee. Niwewe tu Niwewe Bwana (ni weee) Oh Niwewe eh (ni wewe tu) Umetenda haya (ni weee) Oh Niwewe eh (ni wewe tu) Umefanya yote (ni weee) Oh Niwewe eh (ni wewe tu) Niwewe Bwana (ni weee) Oh Niwewe eh (ni wewe tu) Umetenda haya (ni weee) Oh Niwewe eh (ni wewe tu) Sifa zote ni zako (ni weee) Oh Niwewe bwana (ni wewe tu) Ooh ni wewe Yesu (ni weee) Oh Niwewe eh bwana (ni wewe tu) Niweeee. Niwewe tu
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out