Letra

Ad lib... Mmmh. Mmmmh. Mmmh. Aiya yah yah yah yah yaaah... Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Aih!! Nimesemwa sana jamani, Hamchoki? (speaks out in disgust.) Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu Kunijua sana undani siwapi tena nafasi Oooh siku hazigandi, hata mseme mangapi Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi Musical Interlude... Nadhani... Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Writer(s): Lady Jay Dee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out