Letra

Lala salama. Matatizo chuki lawama. Matatizo chuki lawama. Ukilala lala salama Kumbatia picha yangu Kama ukinikumbuka sana Nipigie simu yangu Uki.ukilala lala salama Kumbatia picha yangu Matatizo chuki lawama Vumilia mpenzi wangu Najua wivu ndo mapenzi Ila chunga usizidi Si unajua kwako sijiwezi Ila dhiki imebidi Mi nili.tamani si mi kuwa nawe Tuwe wote usiku na mchana Kilichofanya mi nipagawe Sina chochote cha kuwalisha wana Niliupokea kwa unyonge. msiba wa kaka bona Ile barua yako ya mwisho. ilinitonesha vidonda Usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani nimekumbwa. na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya jana ya kesho niombee Ukilala lala salama Kumbatia picha yangu Kama ukinikumbuka sana Nipigie simu yangu Uki.ukilala lala salama Kumbatia picha yangu Matatizo chuki lawama Vumilia mpenzi wangu Ile kua uone Nilidhani maghorofa Ai, akumbe mwana ukome Hakuna cha kuokota Mi bado, nakaza moyo changu kipenzi Ila naumia kwa kuwa mwenyewe Natamani ila siwezi, nazitafuta ili nije kula na wewe Msalimu mama nyumbani, usiseme kama nahenya Tai, mfiche mpe imani, karibu ntakuwa chema Usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani nimekumbwa. na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya jana ya kesho niombee Ukilala lala salama Kumbatia picha yangu Kama ukinikumbuka sana Nipigie simu yangu Uki.ukilala lala salama Kumbatia picha yangu Matatizo chuki lawama Vumilia mpenzi wangu
Writer(s): Misiani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out