Letra

Upepo mwanana Nawe upo kifuani mwangu Jua likizama Mikono salama Karibu kwenye moyo wangu Mi baba uwe mama Aaaahhhh!!! Zima taa washa mishumaa Nilishe kama na njaa Haaa!! Haaaaaaa!!! Haaaa!!! Kila dakika kila masaa Palilia penzi litasinyaa Haaa!! Haaaaaaa!!! Haaaa!!! Sura yako macho yako Upole wa mama yako We chaguo langu Mamaaaa ahh! Taswila yangu picha yako Moyo wangu mali yako We chaguo langu Mamaaaa ahh! Wasiwasi Mwenzako sina mbona niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima niwe nawe milele Wasiwasi Uko na miiimi usiwe na wasi Wasiwasi Uniamini usiwe na wasiwaa Ntakuganda ruba Pua na lesso tufatane Mahabuba tuwe mapacha tufanane Wenye husuda na wakiroga tutengane Ongeza rutuba nije na pete tuoane Supu chuku chuku miguu ya vikuku Ayah! utauwa eehh! "Utauwa eehh!" Nahema nusu nusu ukinibusubusu Ayah! maua ehhh! "Maua ehhh!" Sura yako macho yako Upole wa mama yako We chaguo langu Mamaaaa ahh! Taswila yangu picha yako Moyo wangu mali yako We chaguo langu Mamaaaa ahh! Wasiwasi Mwenzako sina mbona niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima niwe nawe milele Wasiwasi Uko na miiimi usiwe na wasi Wasiwasi Uniamini usiwe na wasiwaa
Writer(s): Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out