Letra

Binadamu siwawezi Bora nibaki na mwenyezi Kuna jua kuna mwezi Nakupangua hatuwezi Ahsante baba kwa mkate na bikombe Kilichobaki acha mimi nikuombe Aah binadmu metuumba na unyonge Nikikosea naomba mungu unione, tena Na siog opi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Na siog opi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Walishapiga na story niko hoi Siponi tena Wakaapa sitoboi sitoboi sitoboi tena Si walisema hayatopita Leo mungu kawanyamazisha Wakapanga mpaka vita Katikati yao nikapita Na siogopi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Nasiogopi mtu Namuogopa mungu tu Na sijali lolote Namuogopa mungu tu Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo, Sitaki matatizo Hizi shida zangu, zinanitosha Sitaki matatizo
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out