album cover

Aje

169,631Pop2016
album cover
Aje was released on June 24, 2016 by RCA/Jive/HOLA as a part of the album Aje - Single
ReleasedJune 24, 2016
LabelRCA/Jive/HOLA
BPM99
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Ucheshi na sauti, amenifanya nammisi tu
Mwambie asiogope, Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani hiyo yoyote kwa ajili yake
Tena asije pekee yake, asiogope aje na wenzake
Ntafanya party nyumbani, hiyo yoyote kwa ajili yake
Tena asije pekee yake, asiogope aje na rafiki zake
Basi mwambie aje (Aje), ooh aje (Aje)
Aje na rafiki zake (Aje), asije pekee yake (Aje)
Ooh aje (Aje), aje oh aje (Aje)
Aje jamani aje (Aje), aje nammiss aje (Aje)
Uzuri wake timilifu, nishamwona na watu maarufu tu
Kina Wema Sepetu, nikaomba namba bichwa kanishusha shuu
Ilinikosesha raha, Lulu naye kamdanganya
Kwamba mi ni wa kwake, aniogope tena hasinicheke eeh
Ilinikosesha raha, Lulu naye kamdanganya
Kwamba mi ni wa kwake, aniogope tena hasinicheke eeh
Basi mwambie aje (Aje), oh aje (Aje)
Aje na rafiki zake (Aje), asije pekeake (Aje)
Oh aje (Aje), aje oh aje (Aje)
Aje jamani aje (Aje), aje nammiss aje (Aje)
Mwambie, ama ni French girl, niiongee nae hee
Viens mon amour, je suis quelqu'un du bien
Je vais veiller sur toi et toi, tu vas veiller sur moi
C'est toi ma joie, je n'peux p'être content sans toi
Je vais veiller sur toi et toi, tu vas veiller sur moi
C'est toi ma joie, je n'peux p'être content sans toi
Written by: Alikiba, Ally Salehe Kiba

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...