Music Video

Jux - Wivu (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Jux
Songwriter
Bob Manecky
Bob Manecky
Composer

Lyrics

AM records Hii yeah Niamini leo hii sitamani mwingine tena Kazi zangu mishe mishe ntarudi nyumbani mapema Unachonipa baby sitokaa nikuumize eeh Na zile raha unazonipa wewe Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu Wewe tabibu, unanipa rahaa. Unavyokata na kunipa taratibu Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu Wewe tabibu, ni wewe Usijefanya visa mimi na wivu Na moyo utaniumiza mimi na wivu Naogopa watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Usijefanya visa mimi na wivu Na moyo utaniumiza mimi na wivu Naogopa watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Naandika ngoma mapenzi nakuona wewe Na vinanda vya bob vya bembeleza Nishagoma kwingine kwako nipewe Umeniteka mazima nimelegeza And everything I do for you is for my heart, you know Na kila siku mimi napambana wewe upate Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu Wewe tabibu, unanipa rahaa Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu Wewe tabibu, ni wewe Usijefanya visa mimi na wivu Na moyo utaniumiza mimi na wivu Naogopa watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Usijefanya visa mimi na wivu Na moyo utaniumiza mimi na wivu Naogopa watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Aaah aaaah aaah aaaah aaah ahhh aah ...mimi na wivu, ...watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Usijefanya visa mimi na wivu Na moyo utaniumiza mimi na wivu Naogopa watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Usijefanya visa mimi na wivu Na moyo utaniumiza mimi na wivu Naogopa watakuteka mimi na wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu
Writer(s): Jux Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out