Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Maua Sama
Maua Sama
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Maua Sama
Maua Sama
Songwriter

Lyrics

(B-records material, baby) Oh, yeah, yeah Yeah, yeah, yeah, yeah Pole pole usiniibie penzi ya habibi (bi-bi) Mwanzo mwisho nitabaki na wewe kipenzi, yeah, yeah Gimme gimme love my baby, touch me like this (oh-ooh, whoa) Everyday I feel faith kuwa nawe yeye, iye You got me up high Unanipa kile nataka nafurahi, yeah Uwatoe nishai Wote waliotaka mi' na we' tuachane And I feel alive Ulikuwa wapi all the time, yeah Mpenzi usiogope fame Dunia yetu mi' na we' Tuwe wote kila sehemu, yeah, yeah, eh, yeah, iye I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda) I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda) Oh, let me be the main chick, nakupenda (nakupenda) I wanna be your main chick, nakupenda Penda, oh, ya (Eh, yeah) Hey (oh, yeah) Nakupa jina we' ndo' mume wangu We' ni nyongo mkalia ini langu Nafsi yangu imeridhia, sitokimbia Nitazikwa na wewe (yeah, yeah) Pole pole usininyime penzi laazizi Tujinome raha ya mapenzi tufurahi You got me up high Unanipa kile nataka nafurahi, yeah Uwatoe nishai Wote walotaka mi' na we' tuachane And I feel alive Ulikuwa wapi all the time Mpenzi usiogope fame Dunia yetu mi' na we' Tuwe wote kila sehemu, yeah, yeah, eh, yeah, iye I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda) I wanna be your main chick, nakupenda (nakupenda) Oh, let me be the main chick, nakupenda (nakupenda) I wanna be your main chick, nakupenda Penda, oh, ya (Eh, yeah) (Oh, yeah, yeah, yeah-yeah)
Writer(s): Chris Brown, Dijon Mcfarlane, Brian Collins, Glenda Proby Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out