Lyrics

Yeah, yeah DNA, Jomino of course, sawa Ruka tu, ba-banjuka juu Life ni fupi na mi' sijifungi Naweka shida chini natupa mikono juu Ba-ba-ba-banjuka tu Ba-ba-ba-banjuka tu Ba-ba-ba-banjuka tu Naweka shida chini natupa mikono juu Ba-ba-ba-banjuka tu Mi' na-come through niki-rap tu, ma one, two Na kwenye club watu wana-dance tu Jomino kwenye track, maajabu Big wa theme, sauti ya dhahabu Unatakaje ma'? We come tu Bora sura ni nice, ni-nihisi I'm the bump fool Najua nimewakwachu, najua leo lazima watu wabanjuke Nichafuke kwani nini? Wanauliza tutasifu hepi mpaka lini? Si' tunashida zetu tusikilize zako kwanini? Wacha nishike drinks nikicheki warembo hivi Tuangaliane, tusalimiane, hizo namba za simu ndio tubadilishane Ni vile tumejuana leo tu, kwa hivyo leo tu, tutainuka tu, naku- Ruka tu, ba-banjuka juu Life ni fupi na mi' sijifungi Naweka shida chini natupa mikono juu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (eh) Ba-ba-ba-banjuka tu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (eh) Naweka shida chini natupa mikono juu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (ah) Mamy tumejuana umenibamba niaje Si twende hivyo unionjeshe mtaani? Si uongo, iyo figure yako ni safi Nikaribishe ndio sa' nijue ni yaaje Na siunajua leo nime-come na gari Naenda far ilale ndani ya packing Nimebonga mbaya? Malkia nisamehe Ni venye hiyo keja inanishikishanga pepe Nje na ndani kila kitu ni deadly Lakini na-hope hainaga wageni wengi Juu hii game ni poker sio soka Story ya watu wengi kwa uwanja naogopa Nikushoo sa' vile tuta-do (eh) Izo vitu tutazikuta tu (eh) Kladi na ma-sheets tukizitupa juu (eh, eh, eh, eh) Umeniuma juu zimekushika, mm, sa' (eh) Ruka tu, ba-banjuka juu Life ni fupi na mi' sijifungi Naweka shida chini natupa mikono juu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (eh) Ba-ba-ba-banjuka tu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (eh) Naweka shida chini natupa mikono juu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (ah) Ruka tu, ba-banjuka juu Life ni fupi na mi' sijifungi Naweka shida chini natupa mikono juu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (eh) Ba-ba-ba-banjuka tu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (eh) Naweka shida chini natupa mikono juu (oh) Ba-ba-ba-banjuka tu (ah) Ruka tu, ruka tu, juka tu, banjuka tu Ruka juu, ruka juu, juka juu, banjuka tu Ruka juu, ruka juu, juka juu, banjuka tu (eh, eh, eh, eh) Ruka juu, ruka juu, juka juu, banjuka tu (eh, eh, eh, eh) Nimebonga mbaya? Malkia nisamehe Ni venye hiyo keja inanishikishanga pepe (pepe, pepe)
Writer(s): Dna Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out