Lyrics

Hapa tunacheza na maneno Ngeli ni ya genge Na andika hii verse ka nikona njaa Naenda kupika bila makaa Na waita na mnakataa Mnasema kanisa ni ya mavijana Kushiba ni baada ya salaa Kuiba nayo siku hizi ni balaa Utageuzwa kima nyama ya kusagaa Pika iive tunamangaa Skuma chumvi na ka ugangaa Chuma ngumi teke kadhaa Boxer vumbi na ma kambaa Toka nyuki asali changaa Koma kumi utashangaa Ama stima zitazimaa Tuende kwa kina farida Jieke hina kwa mafinga Hapa tunacheza na maneno Ngeli ni ya genge Nataka ukae poa ka kina Fatia halima na eva Watoto wazuri ku&% Ndoto nzuri uisha Ka ume&$ zote kabisa Ukasanya mote ukampatia Bahati mbaya ukashikwa Mabati waya ukapigwa Mashati za wanga zikaishia Chukua zengine uanze kupima Vua pengine ni ya peter Beste yangu mtu wa shida Hii mete ni yangu we tuliza Unadoea ki fisi na hauja alikwa Unapokea dishi na haijapikwa Chakula ni mbichi na haija ivaa Tuma sista eastleigh ma njivaa Lakini chunga vile atajivaa Hapa tunacheza na maneno ngeli ni ya genge Ma mini chuja na adidas Ma Gstring shuka na ma%a Ma mbuyu kwao ni kushangaa Dudu zao zina amkaa Njugu kibao wanatafunaa Mamatha uku wanashtuka Hanya huyu utajuta Kama sumu inaua Maziwa iko tutakunywa Kama njumu zinatupa Kabisa tutakataa kuvua Matope kila mahali panguza Pole pole ngazi tunashuka Pole ka kazi yasumbua Mwisho ganji itaingia Vitisho wangapi wataskia Genge damu eeh California Au sio Hapa tunacheza na maneno ngeli ni ya genge END
Writer(s): Paul Julius Nunda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out