album cover

Usilete Compe

9,927Hip-Hop/Rap2005
album cover
Usilete Compe was released on November 26, 2005 by Black Star Kenya Records as a part of the album Black Star Kenya Hip-Hop Sampler
ReleasedNovember 26, 2005
LabelBlack Star Kenya Records
LanguageSpanish
BPM104
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Ladies and gentlemen this is your captain speaking
Thank you for flying Bamboo air
Today we will be flying at an altitude of
Thirthy thousand rhymes per second
So put your seatbelts on and hold on tight
[Verse 1]
Ati ehh niko club nimekaa bila taabu
Na jamaa anakatia dame wangu kwa sabaabu
Napendanga masilver badala ya dhahabu
Ubaya ya mi huwanga najam ka mwarabu
Lakini mi utoa stress na kalamu na spit kwa mic na inatoka tu vitamu
Hii basi ni story ya dem wangu, staki magezetti ziharibu game yangu
Nimekaa na kadem kangu kasupuu
Namroga tu na mastyles zangu za vuduu
Na zilikuwa zinaflow tu kama maji, jamaa akakuja akamsalimia niaje?
Ati sasa baby, umepotea, imekuwa siku mingi ujatokea
Saa hizo mi nawish tu angepotea, akanisalimia hi, na akaendelea
[Chorus]
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
[Verse 2]
Sasa mi sipendangi kukuwa na wivu
Lakini pia heshima uwaga muhimu
Isitoshe akamwomba namba ya simu
Nikashindwa kwani huyu msee ni wazimu
Ati ehh baby, give me your line, usipotee sana nipigie sometime
Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi
Mi sina time ya kujam saa ngapi?
Uwivu uleta vita kama supuu awezi pita
Kabla chali hajamwita, dem ako na majamaa ka sita
Kafiga lakini kanakuita, hips na thighs ubonga na zinaskika
Zingine zinabonga kama speaker
[Chorus]
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
[Verse 3]
Sasa si nikabaki na dame hapo
Saa hizo jama asharusha game hapo
Ni vile mtu ucheza na brain yako
Nikamwambia wazi jamaa anaclaim vako
Me nikalenga, jamaa akaenda, lakini ni obvious si anampenda
Nakeep it real, nadhani mnanifeel
Ni ngumu kupata dem kwa club na amechill
Siwezi funga mtu ka police, nikikurelease nakwambia tu peace
Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi
Lakini kwanza anipee nafasi nimpatie story yangu kiasi
Mimi sipendi kwanza weekendi mtu rafiki lakini anapretendi
Watu wanaona ni kama wataniona lakini nimekupima na pia nimekusoma
Skia ngoma, compe ni noma, jamaa amealika dame wako nyama choma
[Chorus]
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
Usilete compe kwanza kwa dame wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eeh
[Outro]
And this is your captain once again speaking
I do hope your flight with us has been a pleasant one
Please free to join us once again, on Bamboo air
Written by: Bamboo

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...