Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Gloria Muliro
Gloria Muliro
Performer
Willy Paul
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gloria Muliro
Gloria Muliro
Songwriter

Lyrics

Ooooh Willy, Willy, Willy Paul Tena Na Gloria, Na Gloria Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah Msaidizi Mama Mama, Mama, Mama Jolly We Mjolly, Tatizo kubwa ninalo mimi Jolly we mjolly, tatizo kubwa ninalo mimi (Ninalo mimi) Tatizo gani hilo, yeye asiloliweza? Tatizo gani hilo, yeye asiloliweza? Naomba niskize, eh, Nipe sikio Najitia kitanzi, najitia kitanzi Nimechoshwa sana, ah, ah Haina haja kitanzi, haina haja kulia Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda Haina haja kitanzi, haina haja kulia Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda Oooh bila huruma, msela nateseka na si utani Oooh kudharauliwa, kudhulumiwa wanaojiweza Oooh nifanye vipi mama? (ooh nifanye vipi?) Hivi niende wapi mama? (ooh niende wapi?) Why, why, why, why, why Why, why, why, why, why me Hebu sikiliza mwana, nikwambie Mkamilifu hayuko, ila muumba Tena yeye anafahamu vyema alivyokuumba Usiogope, rudi mwana atakupokea Laiti ungalijua, jinsi anavyokupenda, ah Laiti ungalijua, yalivyo mengi aliyokuandalia ah Najitia kitanzi, najitia kitanzi Nimechoshwa sana, ah, ah Haina haja kitanzi, haina haja kulia Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda Hivi Willy nina shaka Shaka ya nini mwana? Nahisi nimemkosea baba Ni wa huruma wewe njoo Kwa nini mama? Atakurekebisha Je, atanikubali? Atanikubali? Nafsi yangu huu Natamani Willy, kurudi kwake jalali Kurudi kwake jalali Lakini mami mi naogopa Wataniwia radhi Najitia kitanzi, najitia kitanzi Nimechoshwa sana, ah, ah Haina haja kitanzi, haina haja kulia Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda Haina haja kitanzi, haina haja kulia Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out