album cover
Sepa
24,405
Afro-Beat
Sepa was released on January 28, 2023 by The Magical Touch as a part of the album Sepa - Single
album cover
Release DateJanuary 28, 2023
LabelThe Magical Touch
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Jafari Mzonge
Ibrahim Jafari Mzonge
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ibrahim Jafari Mzonge
Ibrahim Jafari Mzonge
Producer

Lyrics

Penzi gani la kushare
Hadhrani la teketea
Ila we you don't care
Ila we you don't care
Yani nakosa Amani
Nyumbani hatuelewani
Unadate nakina nanii
Na unajionyesha
Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi
Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi
Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh
Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh yeah
Zunguka magharibi kusini
Kote hutopata kama mi
Amini kwamba
Amini kwamba
Uligeuka mkoloni
Kitanzi shingoni
Ya allah b
Ya allah b
Hivyo hivyo nami nitapata
Penzi sio naleta utata
Mi mwenzio nimechapa lapa
Oh no
Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi
Sina habari na we
Ni bora niseme
Eeh bhana mi sielewi
Eeh bhana mi sielewi
Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh
Sepa sepa sepa
Moyo umeutesa sana inatosha
Sepa sepa sepa sepa sepa
Wouh
Written by: Ibrahim Jafari Mzonge
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...