Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Arrow Bwoy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Arrow Bwoy
Songwriter
Lyrics
Ni muda mrefu sijakuona natamani ndani roho yangu mpenzi naumwa
Wasiwasi wanipanda, maswali akilini najiuliza ka uko fine
Ijapo niko mbali sana nina imani penzi utanitunzia
Niko harakati za kusaka usije ukadanganywa kesho ukanikimbia
I know you missing (Missing) natambua
You will get it everyday good loving (Loving)
I will hold you in my arms girl, I'll do it every time
Ukiwa umenimiss picha yangu chum, ukiwa umenihata roho kaza ngumu
I'm on the mission I'll be coming soon, I will be there
Ukiwa umenihata roho kaza ngumu, usije ukasaliti penzi letu boo
You missing my shoulder to lean on, I will be there
I will be there, I will be there-there-there (I will be there)

Sisi sote tumeumbwa chini ya jua, anayepanga maanani ya kesho huwezi jua
Siwezi badili jua igeuke mvua, tia imani tena uniombee dua
Huku mi niliko sina hata holiday, I got my eyes set on the enemy
Mwambie papa mwambie mama nisipofika nikiwa hai naomba wasilie
Rampapapam, rampapapam twenty one gun shots grant a holiday
Rampapapam, rampapapam beiby nasema I will be there
Ukiwa umenimiss picha yangu chum, ukiwa umenihata roho kaza ngumu
I'm on the mission I'll be coming soon, I will be there
Ukiwa umenihata roho kaza ngumu, usije ukasaliti penzi letu boo
You missing my shoulder to lean on, I will be there
I will be there, I will be there-there-there (I will be there)
I will be there, I will be there-there-there (I will be there)
I will be there, I will be there-there-there (I will be there)
I will be there, I will be there-there-there (I will be there)
Ninakupenda mami sidanganyi, ntaleta matunda nikifika honey
Nikuimbie ka wimbo darling lalala lalala
Nakupenda mami sidanganyi, ntaleta matunda nikifika beiby
Nikuimbie kawimbo darling lalala lalala, eeih!
Written by: Arrow Bwoy