Lyrics

Toto body body Chuchu antenna Mbele Fordi nyuma Container Ha affordi forgi mapenzi sinema Eeh eeh eeh mapenzi sinema Kisu kilikuwa butu nikakinoa makali Aaah nikakinoa makali Msisubutu kumpendea machali Aaah kumpendea machali Mami love, mami love Nikikumisi na pweta pweta Mami love, mami love Basi leo usichane mkeka Jamani mwenzenu nakoma Kisa (Bacheo viwalawani) Nilimnyima usiku wa jana Amenizilia leo Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti Wewe mwaache) Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga) Kanuna ka roboti Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti Wewe mwaache Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga) Kanuna ka roboti Haka ka shawty kiboko eeh Kana mapozi fulani ya photo eeh Kapandwa mori sio ndoto eeh Nitakalisha ndizi kibosho Akigeuka napaua (Chee) Akijilaza wima napaua (Chee) Kwenye bilingi napaua Yaani nakaba kaba vinoma (Yeah heh) Mami love, mami love Basi leo usichane mkeka Jamani mwenzenu nakoma Kisa (Bacheo viwalawani) Nilimnyima usiku wa jana Amenizilia leo Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti Wewe mwaache Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga) Kanuna ka roboti Eti kanuna ka roboti Kanuna ka roboti Wewe mwaache Kanuna ka roboti (Kaacha hapa mboga) Kanuna ka roboti Imenitoka iyo Imenitokaa Imenitoka iyo Imenitokaa Na nakosea sijafanya makosa Basi cheza fair ukinuna hupendezi Mwenye beatii... Ni Bwana Whozu Akiwa na Boy young Kanuna ka roboti Kanuna ka roboti
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out