Lyrics

Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi (Konde Boy) Mwambieni dada yenu hajanikomoa Eti badala ya kujenga anabomoa Mwambieni dada yenu hajanikomoa Badala ya kujenga anabomoa Eti mapenzi hayalazimishwi Tena ni siri ya watu wawili Wala sikuwa mbishi Alivyonikataa kimwili Asa jana nipo kwa mama Winnie Napiga zangu chai vitumbua Eti kasambaza za chini chini Mie bado ninamsumbua Oooh mwambieni dada yenu hajanikomoa Eti badala ya kujenga anabomoa Mwambieni dada yenu hajanikomoa Ah badala ya kujenga ana Dodo style, eeh Mudi mnyama Msalimie Jengo tamu Eeh wapi mchachambo mchachambo Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita (Twende twende) Asa mguu pande mguu pande Twende mguu sawa mguu sawa Eeh mguu pande mguu pande Mguu sawa mguu sawa Ruka kijeda kijeda Wahuni kijeda kijeda Asa jump kijeda kijeda Gwaride la kijeda kijeda Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa Eti badala ya kujenga unabomoa Bosi mwenye bajaji hujanikomoa Badala ya kujenga unabomoa Chombo imelala gereji Mie jana sijakula vichwa Umetuma bonge la meseji Unataka pesa jua tu ni kichwa Mi nafanya kazi kwa shida Nakesha tena silali Unachukulia barida Kwa nguvu unadai salary Muda mwingine niwabebe ndugu zako Ooooh ooooh ndugu zako Mwisho wa wiki unataka pesa zako Ooooh ooooh pesa zako Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa Maana badala ya kujenga unabomoa Bosi mwenye bajaji hujanikomoa Eti badala ya kujenga Wazee wa chafu tatu(Mama) Chafu tatu(chinja) I say chafu tatu, chafu tatu Na stima kei ndani(Wahuni) Kei ndani (Machizi boti) Ana dume ndani(Duke boti) Dume ndani(Yuapiga mata) Mzungu wa pili ndani(Wahuni) Pili ndani Aya sasa chafua(Walete) Chafua(Walete) Wahuni chafua(Walete) Chafua(Walete) Nasema fitizi hiyo(Baruti) Fitizi hiyo(Baruti) Sasa fitizi hiyo(Baruti) Fitizi hiyo Juma mpogo, msalimie Omari Omari Na anifikishie salamu zangu kwa Dogo Mfaume Waambie gurudumu linasongeshwa Na Konde Boy Mjeshi Kama unampenda Dogo Mfaume, kimbiaa Kama unampenda Omari Omari, kelele Usijebishana, Young Keys mleto Mwambie mzambele ajinyonge Hunter ninyonge Dogo router aninyonge Jose wa mipango, wa mipango Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa Maana badala ya kujenga unabomoa Baaba mwenye nyumba wangu hujanikomoa Badala ya kujenga unabomoa Unakuja mpaka ndani Tena bila kugonga hodi Niulizapo ku nani? Nimechelewa kulipa kodi Umeme kwangu umekata Taa kwako zinawaka Ata maji umekata Nashindwa gogo kukata Kupata majaliwa Ipo siku utapewa Kwangu nitahamia Hata ikichelewa Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa Eti badala ya kujenga unabomoa Hii ni order toka jeshini Namanisha kambi kuu Konde Gang Na anaye zungumza hapa ni mjeshi Wa majeshi yote ya Konde Gang Tulia, tulia, tulia Kaa chini wewe, kaa chini Aya sasa toa shati, toa shati Aah zungusha shati zungusha shati Eeh mpaka kofia yaani dareki Wazee wa vitambaa vitambaa Hii ni order wahuni kimbia! Wote lala chini, eeh lala chini (The Mix killer)
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out