Listen to Mnyama by Alikiba

Mnyama

Alikiba

Afro-Pop

Music Video

Featured In

Listen to Mnyama - Single by Alikiba
ALBUMMnyama - SingleAlikiba

Lyrics

Eeh Eeh Kimambo on the beat Sio leo Toka zamani Mnyama Hana mpinzani Sio leo Toka zamani Mnyama Hana mpinzani Hatushikiki ki ki ki. (Oooooooh we) Hatukamatiki ki ki ki. (Oooooooh we) Watoto wa dar Watoto wa msimbazi Ita mashabiki ki ki ki (Oooooooh we) Wameanza mtiti ti ti ti (Oooooooh we) Na msimu huu Kombe msimbazi Ah we unamjua simba (Mnyama) Sio uyo wa picha mnyama. (Mnyama) Huyo ni wa insta mnyama (Mnyama) Uyo UTOPOLO mnyama (Mnyama) Mnyama (Mnyama) Mnyama (Mnyama) Mnyama (Mnyama) Wa vikombe vingi mnyama (Mnyama) Anaupiga mwingi mnyama (Mnyama) Unyama ni mwingi unyama (Mnyama) Nasema... Unamjua simba (Mnyama) Wa kimataifa mnyama (Mnyama) Mnyama nguvu moja mnyama (Mnyama) Anatupeperusha mnyama (Mnyama) Mnyama (Mnyama) Mnyama (Mnyama) Wa vikombe vingi mnyama (Mnyama) Wa kimataifa mnyama (Mnyama) Anaupinga mwingi mnyama (Mnyama) Hatushikiki ki ki ki. (Oooooooh we) Hatukamatiki ki ki ki. (Oooooooh we) Watoto wa dar Watoto wa msimbazi Ita mashabiki ki ki ki (Oooooooh we) Wameanza mtiti ti ti ti. (Oooooooh we) Na msimu huu Kombe msimbazi Sio leo Toka zamani Mnyama Hana mpinzani Sio leo Toka zamani Mnyama Hana mpinzani Oh... This is Simba Sisi ndio mabingwa Sisi ndio mabingwa Afrika nzima This is Simba Sisi ndio mabingwa Sisi ndio mabingwa Afrika nzima. Eeeeeeeh... Eeeeeeeh...
Writer(s): John Kimambo, Ali Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out