Lyrics

Iyoo Lizer Hhhhmmmm I wish ninge kuwaga na mavumba Mkwanja manoti Nikuhonge vya thamani Ama! Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba Masanja Joti Usiwe mbali nami Hhhmmmm My darling, I need you love oh Uwe nami Haki ya mungu nakupenda Nobody can show your love oh Usiwaamini Ukisha wapa wanakwenda Oh, basi jilegeze Nikubebe mgongoni (iyelewi) Deka nikudekeze Nikutunze kama mboni (iyelewi) Wakija uwapoteze Jifanye kama huwaoni (iyelewi) Kisha uniongeze Ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi) Ooh baby... Asa dance nikuone (kwa ngwaru) Wa bami jo (kwa ngwaru) Ololu Femi (kwa ngwaru) Oooh baby... Asa cheza nikuone (kwa ngwaru) Wa bami jo (kwa ngwaru) Basi cheza na mimi (kwa ngwaru) Aaagah Moyo wangu wa muarobaini Mchungu ukiuziwa Samehe mara sabini Huo uzungu sija jaaliwa Ungependa juu ama chini Kwenye uvungu uparemiwa Nikumbatie baridini Kwenye tundu kama njiwa Moyo wangu mie wa makuti Usinijie na kiberiti (hasa wee!) Penzi likageuka chuki Nyumba ikawa kibiti (hasa wee!) Nipatie vya kitandani Nipe mpaka kwenye kiti (hasa wee!) Ila asiniingie shetani Nawe nikaja kukucheati Oh, basi jilegeze Nikubebe mgongoni (iyelewi) Kitandani nikoleze Kwa miuno ya kingoni (iyelewi) Kisha nibembeleze Nirudishe utotoni (iyelewi) Weka mate niteleze Kama nyoka pangoni (iyelewi) Ooh baby... Asa dance kidogo (kwa ngwaru) Oh wabanwe choo (kwa ngwaru) Ololu Femi (kwa ngwaru) Oooh baby... Asa cheza nikuone (kwa ngwaru) Wa bami jo (kwa ngwaru) Basi cheza na mimi (kwa ngwaru) Aaagah Unataka kucheza chura Na ingali umesimama (ai inama inama) Ai inama inama Asa waoneshe (ai inama inama) Unachezaje (ai inama inama) Unataka maji ya kisima Na mwoga wa kuchutama (ai inama inama) Ebu waoneshe (ai inama inama) Unachotaje (ai inama inama) Unataka kupiga deki Wima umesimama (ai inama inama) Ebu tuoneshe (ai inama inama) Unapiga je (ai inama inama) Si unataka vya pool table Sa' mbona unajibana (ai inama inama) Ebu tuonyeshe (ai inama inama) Unalenga je (ai inama inama) Oya, wanangu wa kigogo (ai inama) Nipe za Mose Iyobo (ai inama) Vunja vunja kidogo (ai inama) Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out