Lyrics

(B Boy) Eeh Mmmh mmh Hivi kwanini nijitutumue Na dunia sio makazi Vijineno neno vinisumbue Hadi nishindwe kazi Mama alisema mkuku kwa nguruwe Kuishi na watu kazi Achambe atukane ata aniue Nishasamehe mzani ni mzazi Mwenzenu naficha naficha Mengi ninayo yaona Kifupi nafunika kombe Nikiamini kesho nayo siku Mapicha picha mapicha Sidhani kama nitapona Wanangu wa mtaani mniombee Hii vita ni mchana na usiku Oooh kuna watu na viatu Wanatamani milele wawe wao Ukijituma watasema Unashinda nao Oooh ni kama watu Kumbe ndani wana roho za chatu Hawatosheki na vikubwa vyao Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao Mola nipe ujasiri Kwenye kufanya maamuzi Zidi nikomaza akili Isinipoteze miluzi Uniamshe alfajiri Kama jana na juzi Kupata kukosa ni siri Nawe ndo Mungu baba mwamuzi Dear Lord (wapo) Iyeiye iye (wapo) Japo ni ngumu kuwaona (wapo) Wapo wasotaka ufanikiwe Wapo, binadamu hawana jema, (wapo) Kila utachofanya watasema (wapo) Wapo (wapo), wasotaka ubarikiwe Dear lord mmh mmh Watakuita mwanga kibonge Tena kwa dharau wakucheke Wanachotaka we uongee Waseme shukrani ya punda mateke Kama vipi dem wake tumgongee Ndo anaempiga chura teke Usipoonewa donge Basi ndo ujue hauna makeke Sikia Konde wepabana mjini shule Ukipata kidogo leta na wanao tule Achana nao wanaosemaga umezoea vya bure Maana siku zote nyani halioni kundule Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa kiume analialia Bila msaada wowote Oooh kuna watu na viatu Wanatamani milele wawe wao Ukijituma watasema Unashinda nao Machoni nikama watu Kumbe ndani wana roho za chatu Hawatosheki na vikubwa vyao Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao Mola nipe ujasiri Kwenye kufanya maamuzi Uzidi nikomaza akili Isinipoteze miluzi Uniamshe alfajiri kama Kama jana na juzi Kupata kukosa ni siri Nawe ndo Mungu baba mwamuzi Dear Lord (wapo) Iyeiye iye (wapo) Japo ni ngumu kuwaona (wapo) Wapo wasotaka ufanikiwe Wapo! Binadamu hawana jema (wapo) Kila utachofanya watasema (wapo) Wapo! Wapo wasotaka ubarikiwe Dear Lord "Special message to the Youth" It's your time now to follow your dream No matter what people say, stay humble Stay positive, follow your dream Believe in God, ease your mind Ease your mind for Lord (The Most Wanted Mix)
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out