Lyrics

Yaga Don't be selfish baby (Aha yaga) Naah... This is Barnaba boy classic Abbah! Nilie nae hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kusaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa) Maji mwenzake kopo oh Tucheze kidalipo oh Huko ulipo oh Salamu zikufikie Yameandikwa maandiko Usiibe mboga usilambe mwiko oh Kurudi kwako ni ndoto ah Sitaki yajirudie Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Nile nae hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Ye sabuni mie jiki Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa) Nah nah nah... Nah nah nah nah... Hmmmmmh... Nah nah nah... Ukiachwa achika Ukimwagwa mwagika Ukitemwa temeka Penzi bovu yanini kung'ang'ania Roho unaisononesha Moyo unaukondesha aah Wakati hujapendeka Wako wengi wanaokutamani Kaaga kaenda kwa mama (mdogo) Waja kumfumaga bar (majogoo) Ya nini kujisononesha Mtoto mdogo wajipaga pressure bure Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homaa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Nile nae hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Ye sabuni mie jiki Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)
Writer(s): Barnaba Elias Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out