Lyrics

Aaah (Ayo Lizer) Ooh mtume roho yangu Inashindwa kuvumilia, Si kwa mahaba anayonipa Yazidi mpaka namwagikiwa Ananipa vinonoo Mpaka naisi changanyikiwa Hongera wake somo Mtoto kafundwa katimilia Wali kwa maini maji abdala sini Na nkirudi nyumbani Ananiuliza nianze chakula ama mwili Hapo ndo anapo nivurugaga, Kichwa kina niumaga Ndo maana ninawaitaga Mnipe ushauri! Ah! Ah! Hadithi hadithi, Utamu kolea Mwenzenu mimi, Utamu kolea Mchumba wangu, Utamu kolea Ah ah sisemi, Utamu kolea Hadithi hadithi, Utamu kolea Mwenzenu mimi, Utamu kolea Mchumba wangu, Utamu kolea Basi usisemi Kanionyesha jua la asubuhi Linavyo penya kwa dirisha Na mizungu ambayo sijui Amenifundisha Shombo la maa'rani Amenisafisha Kama hoi sijitambui Navyo jibebishaaa Hmm kanitunza mahaba Tamu kutaradad, Ebelebe Kibaba baba michezo ya makidakida, Ready ready Tunawakera waja Mbona mtapata shida Niwape siri labda Puto limepata mwiba Ahh ah enh! Nilonge ni silonge, Longa Mwenzu me Longa My baby wangu Longa Na mloveee Hadithi hadithi, Utamu kolea Mwenzenu mimi, Utamu kolea Mchumba wangu, Utamu kolea Basi usisemi, Utamu kolea Ah! Ah! Hadithi hadithi, Utamu kolea Mwenzenu mimi, Utamu kolea Mchumba wangu, Utamu kolea Aku sisemi
Writer(s): Siraju Amani, Nasibu Issaack, Elias Inyasi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out