Lyrics

Uuuhhh Uuuuhhh Ah eehhh Uuuhhh aah aaaaaahhhh Mmmmmh Aah aaaaaahhhh Mmmmh Ulipaswa uwe mvumilivuuu Ungesubiliaaa Uhakiki ndo utoe majibuu Kama nimekosea aah Najua wivu niugonjwa Ambao wengi tunaugua Unanibukumu sina kosaa Mbona kipenzi unanionea Heeey Misemo ya wahenga (Baby umepuuzia) Uuuhh Maneno yanajenga (Menginee yanabomoa) Na kibanda tushajenga (Badoo kuhamiaa) Usigeuke samaki (Ndoano Zikakuopoa) Sarafina Sarafina Sarafina (Kipenzi) Sarafina Sarafina Sarafina (My baby) Sarafina Sarafina Sarafina (Mpenzi) Sarafina Sarafina Sarafina Hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini hata Kama nikukosa usikurupuke niulize mimi Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini hata kama nikukosa Usikurupuke niulize mimi tujenge amani Mmmh eeeeh Niulize mimi tujenge amani Niulize mimi tujenge amani Tabia fulani za fuku fuku kwepana nazo mama mapenzi Yasikatike yakawa luku yakisha ndani oh na kinyonga Mtaratibu kwenye amani ila kwenye vita nakimbia kipimo Cha majaribu hadi shetani Usiruhusu akaingia kinyonga mtaratibu kwenye amani Kwenye vita nakimbia kipimo cha majaribu hadi shetani Usirihusu akaingia Maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho Funika pazia masikioni weka pamba darling Maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho Funika pazia masikioni weka pamba darling Sarafina Sarafina Sarafina (Kipenzi) Sarafina Sarafina Sarafina (My baby) Sarafina Sarafina Sarafina (Mpenzi) Sarafina Sarafina Sarafina Hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini hata Kama nikukosa usikurupuke niulize mimi Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini hata kama nikukosa Usikurupuke niulize mimi tujenge amani Mmmh eeeeh Niulize mimi tujenge amani Niulize mimi tujenge amani
Writer(s): Bakari Katuti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out