Lyrics

Ooah oooh mmmh Ringtone on this beat Uliyenipa maumivu mi kama nyang'au Na tena maumivu dawa ninywe vidonge Kwa marafiki, mashosti unakanidharau Ukanitia uvivu, stress niwe mnyonge Hoh oah Uliyenipa maumivu mi kama nyang'au Na tena maumivu dawa ninywe vidonge Kwa marafiki, mashosti unakanidharau Ukanitia uvivu, stress niwe mnyonge Leo sina thamani, ndo maana Unawafuata milupo ohh baba Leo sina thamani eh ndo maana Unawafuata milupo oh baba We niache Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama) Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache) Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama) Nitapona mdogo mdogo (ooh) nitapona Ooh oaaah ooh ooah Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi Hata zawadi nikikuletea hausemi ahsante Tena nashare hata bila kujua we huridhiki kwa nini Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze Wangu moyo we unauchanganya ah Umekua kivuruge unavuruga sana baba we Kitu gani kwako mi sijafanya eh eeh Ama kuna mtu mnapendana sana Leo sina thamani ndo maana Unawafuata masista du oh baba Leo sina thamani eh ndo maana Unawafuata masista du oh baba We niachee Nitapona mdogo (niache we) mdogo nitapona (niachee) Nitapona mdogo (niache) mdogo nitapona (ntapona kidogo kidogo) Nitapona mdogo mdogo (ooh) nitapona (ntapona mimi) Nitapona mdogo mdogo (niache we) nitapona Aiyoyoyo aiyoooh ooh Ringtone on this beat
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out